Tetesi: Diva Cloudsfm Nimeona show Ya Alikiba Zanziba, kanikuna sana , BurnaBoy kanifurahisha sana

Tetesi: Diva Cloudsfm Nimeona show Ya Alikiba Zanziba, kanikuna sana , BurnaBoy kanifurahisha sana

Jamaa ana copy ile mbaya ..ana copy nyimbo za fela kuti na Angelique kidjo ...lakini katika tasnia ya music hilo sio tatizo ...ni jambo ambalo liba ruhusiwa
Inaelekea hamjui Burna Boy anaongea tu kwa vile amepata platform. Ukiongea kuhusu kucopy na kupaste, Burna Boy anaimba nyimbo za hayati Fela Kuti. He's just sampling it to the modern tunes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom