Juma Lokole umeshamaliza kuvifuta viatu vya Esma, Mama yake na yule basha wake sijui Shante? Naona unapavuka sana wakati hapo ulipo Kinyeo chako kinawaka moto
Jamaa ana copy ile mbaya ..ana copy nyimbo za fela kuti na Angelique kidjo ...lakini katika tasnia ya music hilo sio tatizo ...ni jambo ambalo liba ruhusiwa
Inaelekea hamjui Burna Boy anaongea tu kwa vile amepata platform. Ukiongea kuhusu kucopy na kupaste, Burna Boy anaimba nyimbo za hayati Fela Kuti. He's just sampling it to the modern tunes.