Diva: GK Hakuwa Romantic kwenye mapenzi Ukauzu mwingi

Mimi ninachojua na ninachoamini ni kwamba Diva ndiye alieanza kumtaka GK na siyo GK alianza kumtaka Diva!!.....Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kufail kwa penzi!....na hili liwe funzo kwa wadada wote,acheni kiherehere cha kuanza kupenda, tulieni mpendwe!!
Bora ukae zako utulie ule ulale vizuri chura linenepe
 
Huyo Diva dishi limeyumba network inasoma no signal.. Unataka mapenzi ya kizungu kwa msela, kikubwa ashaliwa atulizane.

Upewe maua wewe mtunza bustani kwani. Ya wazungu waachieni wenyewe
 

Temeke rap style mwisho kuwakilishaa!
 
Ndio tatizo la kuchukua madem nati zimelegea ipo siku atakuaibisha.....Ona Mzee Baba wa East Coast alivyovuliwa Boxer na Changu.
 
Nilishakataaga mimi upumbavu wa sijui birthday mara valentine hayo ni mambo ya wanafunzi
 
Kama hayo yaliyotajwa ndio Matukio muhimu ambayo ukiyafanya ndo unaonekana unajali basi Vijana kazi wanayo!!!
 
kwann alipiga picha kama ile. aliwaza nn. au mkuu alotumia ugumu pia
 
Dah!Umenikumbusha mbali san
 
Birthday unasherekeaje siku ya kujA uchi duniani, kusherekea birthday ni kukiri kuwa kuna siku baba yako alikuwa na nyege, Krismas ni birthday ya Yesu unataka zawadi ya nini, mijianamke mingine akili ni visoda
 
Mie kumbe niko romantic maana birthday ya wife ni wiki mbili zijazo na nimeshamnunulia full mazagazaga kutoka nje nasubiria tu siku ifike nim-suprise

mimi wangu namfanyia mara mbili kwa mwaka!.

tarehe ingine nalazimisha tu...
 
Wanawake hudatishwa na vitu very minor
Wanawake bro wana akiri fupi km kibiriti, me wangu nilimwambia tayari kuondoka ni kiasi cha kumuaga vzr mwanae na migogoro yetu kamwe sitakubari kupeleka nje tunamaliza wenyewe, ukishindwa basi. Kwasababu unavyompenda mtu ni vile alivyo, huwezi taka GK awe km mwana FA never, wanawake wengi wanaigiza maisha, wapo fake sn. Ss ili uweze kuishi na mtu lazima ukubali kuendana na mapungufu yake. Unavomuona Magu mkewe anastahili kuitwa mama na wamefika mbali. Kwa umli wa Gk hawez ishi maisha ya sekondari kuna baadhi ya mambo ana let go afanye maisha kwa manufaa ya watoto wake. Ss km unapata demu ambaye kwa mwaka ana b.day 2 au 3 ni shida, kwanza maua yalishapitwa na wakati na zawadi unaweza pewa mda wowote ilimradi pochi ipo vzr. Inaweza kukukuta bday af umetingwa, utakopa pesa ili usiachwe? Huo ni utumwa wa mapenzi. Me mwanamke hanisumbui namuweka waz mapenz ya olevel sinaga, njo tujenge maisha, zikitutembelea tunaenda viwanja bila kujali tarehe lkn nikiwa na mabo ya msingi utakula bamia Fullstop.
 

wahenga tunakuelewa
 
Akili za baadhi ya kina dada wanazijua wenyewe. Yaani hili bibi kizee ajuza nalo bado linalilia maua na keki kama 17-year-old babes?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…