Diva: GK Hakuwa Romantic kwenye mapenzi Ukauzu mwingi

Diva: GK Hakuwa Romantic kwenye mapenzi Ukauzu mwingi

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Leo kupitia Clouds FM Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho "Diva" ametoa sababu za yeye kumuacha Mwana BongoFlava wetu King Crazy GK.

Kupitia kipindi cha leotena ya clouds fm Diva amesema GK hakuwa romantic, mfano matukio ya muhimu kama birthday, christmas diva alitegemea kupata zawadi kama maua, Keki na vitu vingine ka hivyo ila GK alimpa mikausho mikali kwenye upande huo kana kwamba ni vitu vya kawaida sana kwenye maisha ambavyo havihitaji kupewa priority kiviile.

Mwanadada huyo kwa sasa yupo kwenye relationship na msanii mwengine wa bongoflava aitwae Heri Muziki.

RAI: wanaume wenzangu wa darisalama tujifunze kitu kwa GK. hata kama ni ugumu basi sio poa kuuapply hadi kwa mpenzi wako aseeh.


Diva-na-Crazy-GK.jpg


Imebaki story
 
Matukio ya muhimu kama Birthday!! Huo umuhimu wa hizo alizozitaja inategemea mtu na mtu, na haiwezi kuwa sababu ya kuachana kamwe, yeye aseme tu msingi wa kuachana kwake na GK asitafute sababu nyepesi kuhalalisha hoja yake
 
Mwingine ukimpekekea zawadi hataki,sasa si bora humpe pesa akanunue mwenyewe,na karne hii bora husiwe romantic but pochi inasoma vzr.
 
Huyo diva naye hana mapenzi ya dhati, n kiruka njia tu! Hivyo acha aendelee kuonesha ustaa wake! Age goes! Ngoja aendekeze maisha ya kisupa star!
 
Nilikuwa nimekaa sehem nikasikia hiyo interview kwny radio nikacheka sana,sikuina umuhimu wa yeye kuzungumzia mahusiano yaliyopita namna ile
 
Mimi ninachojua na ninachoamini ni kwamba Diva ndiye alieanza kumtaka GK na siyo GK alianza kumtaka Diva!!.....Huo ndo ulikuwa mwanzo wa kufail kwa penzi!....na hili liwe funzo kwa wadada wote,acheni kiherehere cha kuanza kupenda, tulieni mpendwe!!
 
GK na Diva waliachana sababu ya mboga ya majani "kabegi"
Diva alipokwenda kwao Gk alipokaribishwa kula alikuta mboga ni kabegi hivyo mahusiano yao yakaanza kusuasua toka tukio hilo....
Diva hakuwai kula maharage wala Kabegi katika maisha yake na wala huwa hali mihogo au matembele.....
 
Gwamaka Kaihula ( Gk);nikisema one enyi machizi semeni two,Ay simama na wako,FA simama na wako...,kwani hii ni mijibaba yenye uwezo kifedha,mc kwa mc ng'ali kwa ng'ali,wapi Liundi,Ludigo ni mziki mnene
Daaaaaahhhhhhhh, I real miss those golden moments!
 
Back
Top Bottom