Diva hajitambui

Sio mnafiki amesema kilichopo moyoni mwake hata kama wengine hatukipendi.

Ni mnafiki tu yule...Huwezi kupenda ama kutopenda usichokijua...

Naamini huo wimbo anaujua sana tu...sema ndo hivo tena alitaka kuonesha swagger.. boya sana
 

Huyu atakuwa amepandwa na watudud flani kichwani
kwani sio kawaida kwa mtanzania kuuchukia wimbo wa taifalako.

Mjue zaid Diva mtoto wa Dioniz Malinzi (kaka yake na yule malinzia wa TFF).


 
Mwanzoni nilipokuwa simjui Diva nilikuwaga nafikri ni binti moja mkaliiiii, binti matawi ya juu. Anavyojua kulegeza sauti yule utafikri wakati huo mtete umezama ndani kabisa! Ooouuuups, nilipomwona uso kwa uso nilipigwa na butwaa, dam sura kama mimi??? Mtoto wa kupigia gizani huyo!
 

 
Wimbo Wa Taifa Sio "Ala Za Roho". Nakupenda Sana Diva Lovenesloveee, Kwani Diva Ni Politician? Ameshinda Jimbo Gani?
 
Ana stress yule,watoto waliokulia katika familia ya single mother tena maisha magumu wanakua na shida sana ukubwani

Nakuunga mkono aisee hasa hapo kwenye single mother na akijiona kafanikiwa kubadilisha mboga ndio inakuwa tabu zaidi
 
Mleta mada nakukumbusha hapa tunajadili vitu muhimu kwa maslahi mapana ya taifa huwa hatupendi kujadili watu hasa ambao hawana madhara kwenye uchumi tafadhali usirudie tena kuleta hoja coco kama hii

Wimbo wa taifa ni hoja muhimu ndio utambulisho wa mtz nakukumbusha tu kama haujui
 
Mleta mada nakukumbusha hapa tunajadili vitu muhimu kwa maslahi mapana ya taifa huwa hatupendi kujadili watu hasa ambao hawana madhara kwenye uchumi tafadhali usirudie tena kuleta hoja coco kama hii
Siasa, Uchumi na kila kitu kinaanza na utaifa fikili nje ya box
 
Invisible HUU UZI hautakiwi hapa hili si jukwaa la ujinga kuna majukwaa kibao huyu kakosea hebu uhamishe huu uzi au ufutwe
Two option
 
Last edited by a moderator:
inabidi tujiulize asili yake wapi anawezekana labda anatokea rwanda na alisoma shule gani tanzania hisiyo imba wimbo wa taifa
 
Hata wewe hujitambui,unamleta Diva humu JF tena Jukwaa makini la Siasa?
Bila taifa hakuna siasa hebu fikili kama mtangazaji Ana mashabiki wengi tu hapa nchini wanajifunza nini kwake kumbuka alichofanya hakina tofauti na kulitusi taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…