DIVA LOVENESS LOVE: Atakayenioa mahali siyo chini ya milioni 500

Status
Not open for further replies.
Huwa siangalii sura, ila kwa tabia ile aliyonayo???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
aolewe mara ngapi? Huyo ataeoa anatafuta nini kilichosalia? She z a ****.
 
hivi huyu mdada anajielewa kweli aliwaandikia mashabiki wake barua ya mwezi eti hana maarafiki wa kike watoto wa kike wote ni wambea akawataja baadhi ya watangazaji wenzake wa kiume clouds akimfagilia sudi brown ,halafu juzi katoa mpya ingine eti anaogopa kuzaa atajisikia vibaya akipata ujauzito eti tumbo kuwa kubwa madai yake hatakaa azae eti ataadopti mtoto hivi huyu ni mzima kweli!!!!!
Mwanaume gani rijali atakubali kuoa mtu mil 25 halafu wakaadopti mtoto
Ni mwanamke gani eti hapendi kuzaa!!!!!
 
Acheni uoga. Hiyo ela ndogo hivyo? Unatoa tuu alafu unampiga picha za uchi na muvi ya porno kisha unaanzisha website ya ngono ya kulipia. Ziltajilipa hizo hela na faida juu.
 
wa namna yake wanaishia kubeba mimba na kisha hakuna Ndoa wala kuchumbiwa.
Tuliwaona watu kama hao wakija na kupotea kama harufu ya ushuzi.
 
Acheni uoga. Hiyo ela ndogo hivyo? Unatoa tuu alafu unampiga picha za uchi na muvi ya porno kisha unaanzisha website ya ngono ya kulipia. Ziltajilipa hizo hela na faida juu.

hiyo kali mkuu
 
hivi huyu mdada anajielewa kweli aliwaandikia mashabiki wake barua ya mwezi eti hana maarafiki wa kike watoto wa kike wote ni wambea akawataja baadhi ya watangazaji wenzake wa kiume clouds akimfagilia sudi brown ,halafu juzi katoa mpya ingine eti anaogopa kuzaa atajisikia vibaya akipata ujauzito eti tumbo kuwa kubwa madai yake hatakaa azae eti ataadopti mtoto hivi huyu ni mzima kweli!!!!!
Mwanaume gani rijali atakubali kuoa mtu mil 25 halafu wakaadopti mtoto
Ni mwanamke gani eti hapendi kuzaa!!!!!

siamini kama ni mzima sasa hataki wanawake wenzie eti anawapenda sud brown,mchomvu,halafu milion 500 halafu hapend kuzaa
 
500M za nin?? Sasa wakati line zote washa ziblock. Kama 0714 yake ndo usijalibu kabisaaa maana ukiweka tuuu simu yako inakufa mda huo huo.
 
jamani huyu anatoa mtandao so kwa watumiaji ni ruksa wajameni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom