Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huwa siangalii sura, ila kwa tabia ile aliyonayo???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Acheni uoga. Hiyo ela ndogo hivyo? Unatoa tuu alafu unampiga picha za uchi na muvi ya porno kisha unaanzisha website ya ngono ya kulipia. Ziltajilipa hizo hela na faida juu.
hivi huyu mdada anajielewa kweli aliwaandikia mashabiki wake barua ya mwezi eti hana maarafiki wa kike watoto wa kike wote ni wambea akawataja baadhi ya watangazaji wenzake wa kiume clouds akimfagilia sudi brown ,halafu juzi katoa mpya ingine eti anaogopa kuzaa atajisikia vibaya akipata ujauzito eti tumbo kuwa kubwa madai yake hatakaa azae eti ataadopti mtoto hivi huyu ni mzima kweli!!!!!
Mwanaume gani rijali atakubali kuoa mtu mil 25 halafu wakaadopti mtoto
Ni mwanamke gani eti hapendi kuzaa!!!!!
Amesema maneno hayo kwenye kipindi chake cha hala za roho.
Mtu anaoa Sauti yake kwa 500M au! Sasa hao anaowapenda wana 500M?
jamani huyu anatoa mtandao so kwa watumiaji ni ruksa wajameni
kwa hyo mo racka alitoa milion 250?