kipindi cha njia panda for the past two weeks (wiki juzi na wiki jana) kilikua kinaongelea Mambo haya haya, Watanzania tumekua watu wa kupondana, kukosoana, kusemana vibaya...bila kufaham maneno yanaumba na jamii ya aina hii itaendela kwa shida sana,,, Tunatakiwa tuanze kubadili mitazamo yetu dhidi ya wengine tuwe watu wa kupeana mioyo, Kufarijiana (sio tu kwenye misiba), Tuache kuwa na mitazamo hasi guys kwa kila jambo linajitokeza katika jamii yetu.