SIJUI Niseme NINI???
Watu 77 on jamii forums wamekaa wana discuss shilingi milioni 500 ambayo nimesema atakaenioa ndo atoe mahari ..........kimewauma au?huyo alieanzisha huo mjadala ni BrokeAss Niggah au???is that a big deal discussing me in and out???
all the craps really?? all the stupid comments on me really???
do u guys really even know me au mnanisikia tu katika radio?? N WHY ... inahusu nini??
what is wrong with u guys??
insanity?? so kwanza let me make this very clear
did i even mention WHO am dating ? wapi sasa hizi story zinatoka?
acheni chuki binafsi na kutengeneza stories, my love life is very private , trust me kama sijawahi sema on Public who am dating acheni kunitengenezea stories za ajabu za who am dating.
hamnijui na hamjui maisha yangu kabisa.
my radio life is diff with my real life
naombeni mheshimu watu wengine na maisha yao acheni kunitengenezea taswira zenu , got my family,wadogo and people i respect, this sucks yaani Period.
hivi are u guys home of great thinkers kweli?
am so dissapointed in u guys .................mniache !!
sipendi kabisa na sitaki mnitoe katika mtandao wenu, how long niseme hili la sitaki mnitoe humo na hizo comments zenu za ajabu ?
if u dont kno shit y sayin shit???
that is so low of YOU so called ????????????? great thinkers