Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Wanawake wanapenda kuonewa huruma hapo kanatafutwa kanamna followers wao wapige kelele kuwaombea msamaha.
 
Siqashangai hao, wakizaliwa mchango, kipa imara michango, wakianzaa shule michango, wakimaliza shule michango, harusi zao michango, vifo vyao michango, kanisani michango.


Waameiona fursa ya kujipigia za majanga mbio mbio.

AlhamduliLlahi, najivunia Uislam wangu.
 
Mahakama isiwafunge wala kuwapiga faini, badala yake itoe amri wakajiandikishe elimu ya watu wazima, Wakasome somo moja tu, la mwandiko
 
Diva Kwa huo umri wake anaonekana upstair hayupo vizuri .

Alibidi kuwa na exposure kubwa kuhusu maisha na sio kuwa MTU wa Ku force fame .


Kuhusu Niffer huyo nimetoka nae mtaa mmoja Bukoba naelewa maisha aliyoyapotia yeye pamoja na mama yake.


Diva either anakosa washauri wazuri au hajitambui .

Huyo mwezie ni hunter wa kihaya namjua way back .
 
Yani tunajadili miandiko tena, haha...mbona tuko watu tuna miandiko hiyo ya hapo kwenye barua hizo ni mizuri tena sana, wengine hata Kwa herufi kubwa tu Bado haivutii, utauelewa mwandiko kwenye namba tu na ndio maana tukashtuka mapema, lugha zetu zikawa ni namba na si maandishi...
 
we acha tu cha ajabu ndo yanayotanua na Range mjini
 
Acha uongo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
inasikitisha kwakweli..
 
Hapo hapo mmiliki wa hilo gorofa yupo uraiani.
Ndo maana nasema serikali ya kipumbavu.
 
Tofauti ya sisi na wao.

Sisi: ukiingia lockup hutakiwi hata kuomba maji

Wao: wakiwa lockup, hata wifi wanatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…