Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wanawake wanapenda kuonewa huruma hapo kanatafutwa kanamna followers wao wapige kelele kuwaombea msamaha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama haya madanga ya mjini, hata ukiyapeleka segerea usiku utayakuta kitambaa cheupe yanakata viuno, wayaache yashanyookaKutokujuwa sheria hakuwaondolei tuhuma.
Sheria zifate mkondo wake.
we acha tu cha ajabu ndo yanayotanua na Range mjiniYani tunajadili miandiko tena, haha...mbona tuko watu tuna miandiko hiyo ya hapo kwenye barua hizo ni mizuri tena sana, wengine hata Kwa herufi kubwa tu Bado haivutii, utauelewa mwandiko kwenye namba tu na ndio maana tukashtuka mapema, lugha zetu zikawa ni namba na si maandishi...
Acha kabisa, such is life.we acha tu cha ajabu ndo yanayotanua na Range mjini
Acha uongo.nyerere aliwahi kwenda zambia rais akastukia yuko ofisini kwake akamwambia nimekuja kumchukua rafiki yangu kaunda, kwa kitete akaagiza apelekwe gerezani kumwona kaunda akamkuta amedhoofu sana kwani aligoma kula. akamwamuru ale na apewe maji ya kunywa alivyoshiba akamwambia twende, wakaondoka nae hadi ikulu kufika akamwambia rais naondoka nae, ndio kaunda aka opt kwenda kwa mwanae canada. mjini kuna wazee wana nguvu. usiombe. ukiona tumbili mjini anamwenyewe.
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usisahau kudownload hiyo barua ya Diva uitunze inaweza kukusaidia siku akikuletea nyodo ni kumtumia WhatsApp tu
Rhabhekhaa!!
Yure mupe.. Yure muruke kakaWenye jengo,wakandarasi,watoa vibali vp wamekamatwa au?
Ova
Wananchi....Nani anatakiwa kuijibu hiyo Barua sasa
# uzuri wa mkakasi kumbe ndani kipande cha mti.Kumbe kuandika hawajui na urembo wote uho wanaojifanya waremboo
Tofauti ya sisi na wao.Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:
• Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
• Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
• Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.