L Linho 91 Senior Member Joined Oct 12, 2024 Posts 118 Reaction score 179 Nov 22, 2024 #161 Diva mwandiko wake kama bata kapita.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jan 6, 2025 #162 Hawa madada hawajasamehewaga tu?? Any updates au ndio kupenda wenzenu wapate tabu, wakitoboa kwenye vizingiti inakua sio habari tena.
Hawa madada hawajasamehewaga tu?? Any updates au ndio kupenda wenzenu wapate tabu, wakitoboa kwenye vizingiti inakua sio habari tena.
mwakatojofu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2008 Posts 326 Reaction score 227 Jan 6, 2025 #163 Watu wana roho ngumu jamani. Yaani wali assume wakipokea michango ya milioni 756.5 wataiwakilisha salama kabisa kunakohusika?
Watu wana roho ngumu jamani. Yaani wali assume wakipokea michango ya milioni 756.5 wataiwakilisha salama kabisa kunakohusika?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jan 6, 2025 #164 mwakatojofu said: Watu wana roho ngumu jamani. Yaani wali assume wakipokea michango ya milioni 756.5 wataiwakilisha salama kabisa kunakohusika? Click to expand... Waliwaamini tu,
mwakatojofu said: Watu wana roho ngumu jamani. Yaani wali assume wakipokea michango ya milioni 756.5 wataiwakilisha salama kabisa kunakohusika? Click to expand... Waliwaamini tu,