Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Hawa madada hawajasamehewaga tu?? Any updates au ndio kupenda wenzenu wapate tabu, wakitoboa kwenye vizingiti inakua sio habari tena.
 
Watu wana roho ngumu jamani. Yaani wali assume wakipokea michango ya milioni 756.5 wataiwakilisha salama kabisa kunakohusika?
 
Back
Top Bottom