Diva: Natamani sana kutoka kimapenzi na Ali Kiba

Diva: Natamani sana kutoka kimapenzi na Ali Kiba

Si ndy huyo aliyesema hawezi date na mwanamme ambaye hajuwi kuongea ENGLISH?au sikumuelewa labda alimaanisha mwanamme asiyejuwa maneno ya ENGLISH..
 
Huyu nae na minjino yake ya njano utadhani kang'ata kimba vile
 
Mastaa wa kibongo bhana hawana pesa lakini loh!! Km huyu anajifanya J lo wa bongo! J lo anaolewa anazaa anaacha anaolewa kwingine anazaa tena sasa wewe hata kuzaa hutaki kwani unajuwa ukizaa tu mpauko mbaya kabisa nenda na umri mama

Kuwaita mastaa, kunawapa sifa sana ndio maana kila siku wanakuja na vibonzo vipya
Hao ni MALAYA wa bongo na sio MASTAA wa bongo, kila siku wanafikiria bwana mpya
 
Mwaka una siku 365 ukitoa weekend siku 104 kwa hesabu ya haraka ambapo vipindi vyake vinakuwa hewani na anakaribisha wageni 2 au 3 kwa wiki inamaana anauwezo wa kupata wanaume wapuuzi 104 hivi kwa upuuzi wake kweli dunia gunia
Mkuu umetisha
 
Back
Top Bottom