Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.
Huyu ni MGONJWA wa akili ila anajua kuoga
 
Mwanamme anapotaka papuchi hata bilioni atakuambia yuko tayari kuwapa wazazi wako ili tu apate kumega kitumbua chake. Kama ni kweli, basi atumie hiyo mahali kumtoa mwizi (baba yake) jela kwa dhamana hiyi hiyo.
 
Hata bwana wa elfu 50 hana huyu. Mashauzi.co.tz ndio yamemjaa!
 
Unakuta huyu ni role model Wa wanawake mtaani.

Aisee diva ni mwendawazi huwezi kujilinganisha na bidhaa bado uwe mzima.

Huyu anajiuza sema kwa dau refu *****
Huyo yuko kibiashara zaid

Cjui hapo mjengon hua wanamuonaje
Na haya mambo yake yasio na kichwa wala
Mguu
 
Back
Top Bottom