Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Ukikataa kutumia kichwa chako kufikir na kuacha wangine wafikir kwa ajil yako - lazima yakufike kama haya mtu mtimamu awez tangaza dau adharan hivi ,ataka milion 500 wakat hata 10% ya hiyo hela kwenye saving yake hana
Pathetic
 
Mwanamme anapotaka papuchi hata bilioni atakuambia yuko tayari kuwapa wazazi wako ili tu apate kumega kitumbua chake. Kama ni kweli, basi atumie hiyo mahali kumtoa mwizi (baba yake) jela kwa dhamana hiyi hiyo.
Baba yake ni nani??
 
Huyu naeee😎😎😎😎
Sijui ni stelesi za heri music au nyege zimempanda kichwani.SMH
 
Zari gharama take ndio hii sio we we...una mini valued to that 500 boxes?usijiptomote kiihivyo...ndo maana Dogo aliswing,.misifa tu
 
nilisema hili mahara pengine..,watanzania wengi tuna natatizo sasa kwa mtu kama huyu ye kila siku kueleza bei yake maana yake nini hasa au anataka nini hasa na kwa kweli labda jini ndio litatoa hiyo pesa kwa ajili yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…