Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

😳 😳 😀 😀 😀 Wote wagonjwa hawa
 
😳 😳 😀 😀 😀 Wote wagonjwa hawa
 
Kwa lipi?kwanza tangu lini mahali akapanga mwanamke?uyu anahitaji tiba ya haraka vinginevyo mtakuja kumkuta pugu jalarani.
 
Wema Sepetu alisema mahari yake ni ng'ombe mia moja.Kwasababu yeye ni mweupe,mrefu,ana shepu nzuri.
Pili ni mwanamke mzuri mwenye mchanganyiko wa kinyamwezi na kinyaturu.
 
Hehehehehe


Mashine yenyewe breki pumbu halaf niambiwe mahari nusu bilioni[/QH

Hhahahahahahahaha eti brake pumbu, aiseeee mungu anakuona
na zenyewe zikifeli ina maana ajali kubwa.
 
Wataendelea kulalamika kuwa makampuni yanawapendelea majirani, yaab celebs wa kibongo wana akili za kondoo sana
 
Labda milioni mia tano za Zimbabwe.
 
A ha ha ha ha ha ha ! Kwa hiyo mkuu unamaanisha hata Mr.Jiwe A.K.A malaika mkuu inabidi tumpeleke naye akapimwe mkojo ?
 
Hahahahahaaaaa kumbe ndio huyu??

Nimemsikia kitambo sana Diva diva ila sikuwahi kumuona hata kwa picha.


Sasaaa mahari yake ni 500M
Mimi nasema niko tayari bei ikishuka mpaka elfu 15 nachukua siku hiyo hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasubiri ofa ya yeye kumlipia mwanaume mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…