Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Basi kama kampata atakuwa ni Bilionea Asigwa
 
Aliwahi kusema anataka mwanamme anayejua kuongea English asiyejua hamtaki,
 
na wewe mtu mkubwa na akili yako unamsifia mtu lugha 'english' kipi ulichokiona kuwa anafaa kutangaza CNN ama FOX NEWS, je wewe huwa unaangalia na kusikiliza hivyo vituo kwa makini???? naona unaleta mambo ya bongo movie hapa! huwa unawasikiliza vizuri hao watangazaji kiasi kwamba unamlinganisha huyo malaya na hao!!! na wasi wasi na vitu vya msingi unavyovijua!!! ndo nyie mtakaokuwa mnaenda ilala kuomba kazi kwa Hapi....!!! hufaulu hata swali moja!!! too bogus kumlinganisha huyo malaya na watangazaji wa CNN!!!
 
Hehehehehe


Mashine yenyewe breki pumbu halaf niambiwe mahari nusu bilioni
Si bora kufukia ardhini
Msimu ukiwadia unaingia zako Ilala
Unavuta mkwanja unazama maeneo muhimu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eti mil 500[emoji23][emoji23]
Kwa uzr gani alionao hata demu wangu anamzidi uzuri
 
Hili diva lina mambo ya kitoto... Milioni 500 kwa kwa K*** gani? Watu washa legeza kizazi zamaaaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Huu ni uzalilishaji kwa watoto wazuri wenye hofu ya Mungu na wenye sealed zao ambazo wamewawekea waume zao kama zawadi ya siku ya harusi
 
Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.
 
Badala ya kuendekeza huu upuuzi aende gerezani keko akamuone baba yake mzazi Jamal Malinzi ananyea debe.

Mfyuuuuuuu.
 
Hiv tutajuaeje kama kwel kalipa hzo 500m? Kama katolewa mahari kama wengne laki sita ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…