Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Mastaa wa bongo kwa kuzidisha sifuri hawajambo.. Mahari ya milioni 5 utasikia milioni 500...
 
Kwa kipi hasa alichokuwa nacho hadi alipiwe mahari ya million 500!!!? Buku 7 tu zinatosha.
 
Neno lenyewe Diva lina màana gani kwa anayejua atujuze ,isije kuwa sio makosa yake
 
Hapa ndiyo utaona ni kiasi gani alivyo yaani umri wote huu bado anadaganyika kirahisi hivi
 
Diva anazaidi ya 30 years asitokee muntu akabisha hili hilo moja, pili sio bikira hizo million 500 kwanini wasijenge kiwanda cha condom alaah
 
Huyu dada ukisikiliza kipindi chake utajua ni mtu wa maana kumbe hana maana kabisa
ni kweli kk kumbe ni k*** a tyuu kumbe kusoma sana sio kujua eeh ( English Course pia zipo)
 
Hakuna papuchi yenye thamani ya 500M hata kama ingekuwa ikitikisa milima na utoko dhahabu.
 
Back
Top Bottom