ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Milion 5 yote hiyo,toa tena sifuri mojaMastaa wa bongo kwa kuzidisha sifuri hawajambo.. Mahari ya milioni 5 utasikia milioni 500...
Hapo chachahivi angekuwa msichana ingekuwaje ?
Na kizinduliwe na mkuu wa malaikaDiva anazaidi ya 30 years asitokee muntu akabisha hili hilo moja, pili sio bikira hizo million 500 kwanini wasijenge kiwanda cha condom alaah
ni kweli kk kumbe ni k*** a tyuu kumbe kusoma sana sio kujua eeh ( English Course pia zipo)Huyu dada ukisikiliza kipindi chake utajua ni mtu wa maana kumbe hana maana kabisa
πππππ,daah JF never boring.Hehehehehe
Mashine yenyewe breki pumbu halaf niambiwe mahari nusu bilioni