Diva: Ruby na Gigy Money ndio watu gani

Diva: Ruby na Gigy Money ndio watu gani

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Mtangazaji wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm Loveness Malinzi amedai kuwa hamfahamu Ruby wala Gigy Money kwa kuwa hajawahi kuwasikia hata siku moja
1473440072823.jpg
 
divaa mtoa huduma za mtandao ...ila ruby siamin kama anabifu na cloudz nahis ni kiki tu maana matangazo yake yanapgwa sana clouds
 
Back
Top Bottom