Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gk akitoa hata 2m napanda gari la mwendokas bila nguo
DihGk akitoa hata 2m napanda gari la mwendokas bila nguo
Kuna watu mimi pia nawashangaa 24/7 kofia haziwatoki Mrema(mrema mpaka inadhaniwa anaoga na kile kibarghashia) mwingine ni AY na GK ila ni mawili aidha utakuta kunafichwa Uhalaza au ramani ya kichwa haija tulia.hivi GK mpaka kitandani anavaa kofia?
Mkuu hapo kwa Mrema umeua kabisa.Inawezekana kichwa dozaini ya polygon hivi..Kuna watu mimi pia nawashangaa 24/7 kofia haziwatoki Mrema(mrema mpaka inadhaniwa anaoga na kile kibarghashia) mwingine ni AY na GK ila ni mawili aidha utakuta kunafichwa Uhalaza au ramani ya kichwa haija tulia.
labda 200usdHahaha imebidi nicheke tuu..
Hivi huyu ndiye aliyesema mahari yake ni 200M?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gk akitoa hata 2m napanda gari la mwendokas bila nguo
Tafuta video ya wimbo wake waitwa Nitakufaje, utamuona GK akiwa pasipo na kofia kichwaniKuna watu mimi pia nawashangaa 24/7 kofia haziwatoki Mrema(mrema mpaka inadhaniwa anaoga na kile kibarghashia) mwingine ni AY na GK ila ni mawili aidha utakuta kunafichwa Uhalaza au ramani ya kichwa haija tulia.
Sema nyimbo zake zote kwanini iwe huo mmoja tu.Tafuta video ya wimbo wake waitwa Nitakufaje, utamuona GK akiwa pasipo na kofia kichwani
Mkuu hapo kwa Mrema umeua kabisa.Inawezekana kichwa dozaini ya polygon hivi..
Msaga sumu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !Gk akitoa hata 2m napanda gari la mwendokas bila nguo