Diva: Sioni ajabu kudendeka na mtu

Wazazi wa mastar wa Tz wana mengi moyoni yanayowaumiza.
 
SASA KAMA NI MAISHA YAKE BINASI KWANINI ANATUONYESHA? KHA!
 
Kuna watu mimi pia nawashangaa 24/7 kofia haziwatoki Mrema(mrema mpaka inadhaniwa anaoga na kile kibarghashia) mwingine ni AY na GK ila ni mawili aidha utakuta kunafichwa Uhalaza au ramani ya kichwa haija tulia.
Mkuu hapo kwa Mrema umeua kabisa.Inawezekana kichwa dozaini ya polygon hivi..
 
Hivi huyu ndo yule mtoto wa Rais wa TFF?
 
Neno La Kipuuzi Likisemwa Kizungu
Mswahili Anaona Ni Sawa!! By Mwl J K Nyerere
 
Kuna watu mimi pia nawashangaa 24/7 kofia haziwatoki Mrema(mrema mpaka inadhaniwa anaoga na kile kibarghashia) mwingine ni AY na GK ila ni mawili aidha utakuta kunafichwa Uhalaza au ramani ya kichwa haija tulia.
Tafuta video ya wimbo wake waitwa Nitakufaje, utamuona GK akiwa pasipo na kofia kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…