Diva the Bawse akanusha kuwa na mimba, akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Michael Lukindo!

Android

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
970
Reaction score
1,209
Mwanadada mwenye mvuto wa kuweza kumshawishi mtu kulipa mahari ya Tsh miln 500, na anayeongoza Tanzania nzima kwa sauti nzuri ya utangazaji redioni. Leo akihojiwa na mbea sugu Sudy Brown kwenye kipindi cha xxl muda wa saa 9:00 mchana wa tarehe 17/04/2018, amekanusha kuwa na mimba na amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Michael Lukindo.

Diva the bawse lady wa Tz akiongea kwa jazba huku matusi ya nguvu akimporomoshea mtangazaji mwenzie Michael Lukindo akimwambia asimzoee kabisa, kwani amezoea tabia yake ya kusingizia kutoka kimapenzi na wadada kadhaa wa mujini alianza singizia kutoka na jokate na wengine, lakini yeye Diva ni mwisho wa reli atampeleka polisi na kumuonesha mfano!

Pia soma >Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie
 
mkuu [HASHTAG]#ploisi[/HASHTAG] ni wapi?
 
Duuh unajua mda mwingne matusi yanaweza kuwa Mapovu...
Sio kwa mipovu ileee khaaa...
ML BasiIwee..
 
hhahahah hiii ni habari ya kweli anayo mimba na hataki watu wajue kama ana mahusiano na Michael Lukindo na kama wameachana au mimba imeporomoka nitafatilia niwajuze
Hivi unajiona Mwamba kwa vile Jamal yupo lupango! Akitoka usinililie kwa kipigo kwa kumnyanyapaa binti yake!
 
Kabisa huoni anavyohangaika sasa mwanaume kukuzushia kuwa una mahusiano nae ndo kupanic kooote huko angebakwa je ingekuwaje??
mkuu kuzushiwa kubaya ndio maana amekasirika sana, naunga mkono the bawse lady kukasirika vile na hata akchukua hatua moja mbele ya kumsweka mtu kwa afande sirro!
 
Habari Ya Mjini Kwasasa Ni Ile Ch*p* Aliyovaa Nandy Kwenye Video Iliyovuja
 
hhahahah hiii ni habari ya kweli anayo mimba na hataki watu wajue kama ana mahusiano na Michael Lukindo na kama wameachana au mimba imeporomoka nitafatilia niwajuze


Bora ufuatilie zile pesa serikali imepeleka wapi tujue. Hii mimba ya Diva tuwaachie Clouds FM.
 
Nani atoe Mill 500 ? Mia tano yenyewe sitoi.
 
Nilimsikiliza,alikuwa anatukana balaa..hivi huyu dada ana matatizo ya akili nini??
 
Ruttashobolwa ndiye aliyesambaza humu jamiiforumz hizo habari juu ya dada yetu mrembo nambari "moja" (kwa mujibu wa mwandishi wa uzi)
 
Kwa hiyo, kukataa kwake na kutoa matusi ndiyo kusema bado anazisubiria Mil. 500?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…