Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Habari Ya Mjini Kwasasa Ni Ile Ch*p* Aliyovaa Nandy Kwenye Video Iliyovuja
HaaChupi la Nandy limefunika la Selemani Msindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaChupi la Nandy limefunika la Selemani Msindi.
Kabisa huoni anavyohangaika sasa mwanaume kukuzushia kuwa una mahusiano nae ndo kupanic kooote huko angebakwa je ingekuwaje??
Umeonaeekweli mkuu,upungufu wa dudu washa mwilini haujawahi muacha mtu salama,kisaikolojia hayuko sawa
kweli aiseeUmeonaee
hahaaa...ila ile radio ya kimaku sana aiseee..mtu anaporomosha matuzi mazito vile halafu wanairusha interview hewani kweli"" ijapo kuwa walikuwa wanayakata kata"" lakini ylikuwa yanaeleweka kabisaa"""bila shaka TCRA itakuwa ni ya Mjomba wao""Atampeleka polisi ili iweje sasa!!!
Usingo mbaya sana kwani husababisha ugonjwa uitwao kichaa cha nyege
yule demu ni fekerooo sana aisee..kamtukana Jamaa kiasi kile tena on air"" khaaa..na uongozi wa CMG umeruhusu kabisa ile clip kurushwa hewani""hhahahah hiii ni habari ya kweli anayo mimba na hataki watu wajue kama ana mahusiano na Michael Lukindo na kama wameachana au mimba imeporomoka nitafatilia niwajuze
Silisikilizi siku hizihahaaa...ila ile radio ya kimaku sana aiseee..mtu anaporomosha matuzi mazito vile halafu wanairusha interview hewani kweli"" ijapo kuwa walikuwa wanayakata kata"" lakini ylikuwa yanaeleweka kabisaa"""bila shaka TCRA itakuwa ni ya Mjomba wao""
Hawakubaligi Hawa, Ukute Tayari Alishaliwa, Nina Mifano Haimkuu kuzushiwa kubaya ndio maana amekasirika sana, naunga mkono the bawse lady kukasirika vile na hata akchukua hatua moja mbele ya kumsweka mtu kwa afande sirro!
Nahis alimtukana off air, sudy akarekod, sudy ndio ana makosa kurusha yale matusi.yule demu ni fekerooo sana aisee..kamtukana Jamaa kiasi kile tena on air"" khaaa..na uongozi wa CMG umeruhusu kabisa ile clip kurushwa hewani""
wale Jamaa itakuwa ni mapunga sio bure ...naanza kuamini sasa"""
ndio huyo naye mshangaa"" but kabla ya kipindi kwenda hewani sihuwa kinapitiwa na uongozi"" ?? so uongozi wa CMG uliona sawa kabisa kuruhusu ule ujinga mixer uchizi kuruka kwa hewaNahis alimtukana off air, sudy akarekod, sudy ndio ana makosa kurusha yale matusi.
Aiseee we mkalihhahahah hiii ni habari ya kweli anayo mimba na hataki watu wajue kama ana mahusiano na Michael Lukindo na kama wameachana au mimba imeporomoka nitafatilia niwajuze
Kwa hiyo Mh John mpenzi wa kipindi hicho amesikiliza kila kitu? Aiseeehahaaa...ila ile radio ya kimaku sana aiseee..mtu anaporomosha matuzi mazito vile halafu wanairusha interview hewani kweli"" ijapo kuwa walikuwa wanayakata kata"" lakini ylikuwa yanaeleweka kabisaa"""bila shaka TCRA itakuwa ni ya Mjomba wao""
hahaaa sasa hivi mood hiyo hana "" CAG anampasua kichwa "" nasikia anashinda bafuni tu "" siumeona week yote hii imeisha ameshindwa kufungua hata kiwanda cha kuchoma mishikakiKwa hiyo Mh John mpenzi wa kipindi hicho amesikiliza kila kitu? Aiseee
Toka 2010 anasema yupo early 20's hadi leoHuyo Diva ana umri gani?
Haya makombora yanayoelekezwa kwa bwana stone sio ya mchezo kabisahahaaa sasa hivi mood hiyo hana "" CAG anampasua kichwa "" nasikia anashinda bafuni tu "" siumeona week yote hii imeisha ameshindwa kufungua hata kiwanda cha kuchoma mishikaki
hapo keshafikiria mbinu zote za ujasusi "" anatamani ambanike "" lakini sasa anajiuliza pakuanzia"" ngoja aagize sumu kutoka russiaHaya makombora yanayoelekezwa kwa bwana stone sio ya mchezo kabisa