Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Habari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”

DIVA-24.jpg

==============​

1BCB1745-395B-4742-9E53-7227616E86BA.jpeg
 
Mkuu mbona umeonesha chuki kwa huyo mdada kiasi hiki?

Unashangilia kuanguka kwa mwenzio???

Inaweza kuwa jambo la faida kwake atapata muda wa kujiajiri, kusoma au kujaribu kutafuta fursa kwenye chombo kingine cha habari.

Inaweza kuwa kama kumpiga chura teke unamuongezea mwendokasi.
 
ilo bichwa linaweza kusoma nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliposoma tetesi hii ulianza kusikia raha kwanza kisha ukasikitika, nataka nikwambie hiyo raha uliyosikia ni makazi ya shetani, na kitendo cha raha kutangulia ni kiashiria cha kumtanguliza mbele shetani katika maisha yako, trust me, huendi mbinguni. Mtangulize Mungu, siku zote utawahurumia watu hata kama ni maadui zako.
 
Back
Top Bottom