Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Mkuu mbona umeonesha chuki kwa huyo mdada kiasi hiki?

Unashangilia kuanguka kwa mwenzio???

Inaweza kuwa jambo la faida kwake atapata muda wa kujiajiri, kusoma au kujaribu kutafuta fursa kwenye chombo kingine cha habari.

Inaweza kuwa kama kumpiga chura teke unamuongezea mwendokasi.
 
ilo bichwa linaweza kusoma nini sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliposoma tetesi hii ulianza kusikia raha kwanza kisha ukasikitika, nataka nikwambie hiyo raha uliyosikia ni makazi ya shetani, na kitendo cha raha kutangulia ni kiashiria cha kumtanguliza mbele shetani katika maisha yako, trust me, huendi mbinguni. Mtangulize Mungu, siku zote utawahurumia watu hata kama ni maadui zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…