Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kweli kazi ipo.. yani mwandishi wa habari anaandika taka taka hivi.Habari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”
View attachment 1420712
kamtukana nani?Yes, wewe hujafurahia? anavyoongeaga matusi na kutaja viungo vya uzazi hadharani una furahi?
pumbaf..
Mwehu too yule hana akili kibongo bong inabd tujanjaruke mtu unawezaj kusuluhisha mapenz Ya wat kat yako mwnyw yanakushind?.. then kingne anachoniboa et linataka 500M F**ck mind kuna kuzi gan ataend kutupa ela zake kwa yule ajuza?..Akiwa kipind linakasifia kale kaking ka Kariakoo tu Akiwa nje ya Mawingu Fm hana jambo Kwa leo ngoja ninywe maji am backHabari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”
View attachment 1420712
Jamal ni baba mlezi ambaye amemuoa mama yake mdogo Diva. By the way Diva na yule mwanamuziki wa kike aliefukuzwa NEC ya chama chetu ni ndugu kabisaaa. Hana damu ya kihaya labda kisambaa/ bondei.Lakini si muhaya! Bila kujipandisha chati atapandishwa na nani baba take jamali malinzi mzee Wa tifiua tifua zaman
Wapi?Jana nimemsikia
BhaelezeeJana nimemsikia
CloudsWapi?
Clouds?
Kusaga beki hazikabi kwa divaiClouds