Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kweli kazi ipo.. yani mwandishi wa habari anaandika taka taka hivi.Habari za hivi punde ni kuwa mwanadada Diva ( DivaDaily ) amesimamishwa kazi Clouds Media kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni “utovu wa nidhamu”
View attachment 1420712
Sijaelewa kitu.
Kasomea wapi huyu?
Kama ‘ib’ nini maana yake? Ibilisi au. Daaaah.
Kweli kazi ipo