Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Wapi nimesema wewe ni mwanamke,na kwanini ujihisi wewe ni mwanamke ingali wewe ni mwanaume.
Maandishi mkuu.
Like pagalla alimalizia?
Alishawahi kunitemea mate uyo kenge bilicanasYani unafurahia mwezio akiwa fired.? Seriously wewe anza kupaa tu na ungo
Unauhakika gani kama mimi mwanaume?Wapi nimesema wewe ni mwanamke,na kwanini ujihisi wewe ni mwanamke ingali wewe ni mwanaume.
sawa Diva nenda wasafi FMKama uliposoma tetesi hii ulianza kusikia raha kwanza kisha ukasikitika, nataka nikwambie hiyo raha uliyosikia ni makazi ya shetani, na kitendo cha raha kutangulia ni kiashiria cha kumtanguliza mbele shetani katika maisha yako, trust me, huendi mbinguni. Mtangulize Mungu, siku zote utawahurumia watu hata kama ni maadui zako.
Habari yako haina chanzo, unazusha zusha tu, wewe wa kukaa karantini kabisa
Mkuu bichwa langu linaweza kusoma maandishi yako ya kupongeza mwenzio kuzibiwa riziki yake pale kwenye kampuni ya habari ya mawingu.Habari za ivi punde ni kuwa mdada mwenye sura zaidi ya 100
leo wa blue kesho wa njano keshokutwa darkwhite amefukuzwa kazi cloud's kutokana na utovu wa nidhamu
Nawapongeza clouds kwa kumtimua uyu mdada kutokana na dharau zake zilizovuka mikapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhhahaaaaha....sijapenda kbs mkuu..d.ah eti kuku wa kishingo🤣🤣🤣Khaaa.
Sasa bei itashuka
500M - kondoo na kuku wa kishingo.
Mwenyewe na familia yakoHabari yako haina chanzo, unazusha zusha tu, wewe wa kukaa karantini kabisa
wapi na wakati alishaharibu WASAFIKama ni kweli pole yake sana. Kama ana kipaji atapata tu kazi.
Huku uraiani unatusumbua sumbua tu, zima data basi
Nenda kamtetee basiMkuu bichwa langu linaweza kusoma maandishi yako ya kupongeza mwenzio kuzibiwa riziki yake pale kwenye kampuni ya habari ya mawingu.
Maandishi kama hayo hapo juu.
Chuki inaonekana kwenye pongezi zako, kwenye kumuelezea muonekano wa sura yake n.k.
Chuki ya kiwango hiki unaweza kuja kuwa mchawi ukizeeka. Kwani rangi ya uso wake ilikuwa inakuzibia riziki?
Akifukuzwa kazi wewe ndiyo utapewa mshahara wake?
Huwa sipendi kuongea namna hii lakini kwa chuki zako dhidi ya huyu mdada nimeona sitaingia peponi bila kukuchana 'live'.
Competitive ni vikoje basi kamuajiri TABORA FMVituo vya redio, vipo vingi. Wasafi ni moja kati ya Mamia.