Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Sema nn CMG watamrudisha baada ya muda, dizain wamemsimamisha kwa muda. Nakumbuka kina Adam mchomvu, Alex lwambano waliwahi simamishwa...ila baada ya muda waliwarudishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli maadili yanakataza kumcheka mtu au kumuombea mabaya mtu au kufurahia anguko la mtu..
LAKINI diva alikua kazidi mpuuzi yule.. alikua anajiona sana.. sasa anyooke dadeq zake..

Hata kama alipata kazi au hata akipata hela .kilichokua kinampa kiburi ni kuwa na kipindi clouds ambapo alikua napata platform ya kujimwambafai.. sasa aende akajimwambafai kwenye ule mjengo wake wa mil 500 aliokua anajenga😂😂
 
Nimekuelewa sana ndugu yangu

Hakika raha ni ya shetan lakin huruma ambayo ni chungu sana ni ya MUNGU

BAS ISIWE KESI

MUNGU NA WENYE KHAKI
SHETAN NA WAHUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…