Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Roho mbaya inajengwa mzee ...... Matendo yetu na jamii zinabadili Sana watu kuwa na roho ya korosho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya inajengwa mzee ...... Matendo yetu na jamii zinabadili Sana watu kuwa na roho ya korosho
Hatar mkuu.Kuna sauti zinatoa hamasa sana hasa wakat wa mchezo..
Ahaha.
Samahan lakin
Pale wenye sauti hiyo shafi dauda au Alex lwambano yupi sasa 😂😂Hee....! Mkuu unawaza mbali sana!....
Ila hata sisi ke tunavutiwa na sauti...kuna jamaa moja liko clouds kipindi cha michezo...mweusi tii...uwiiii🙊🙊!anaongoza kile kipindi...! Nimemsahau jina! Anahamasisha mno mno😅!
Pale wenye sauti hiyo shafi dauda au Alex lwambano yupi sasa 😂😂
Diva ni mnafiki sana uyo demuKuna mijitu ni mijinga.Inafurahia anguko lake.Je unafaidika na nini ukiona mwenzio anapoteza kazi tena kipindi kigum kama hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikiliza ni miziki tu hapa,ila kwa brand inayojielewa haiwezi kubali kuchafuliwa kiasi kileitakua kweli kabinti kale kamefukuzwa, naona leo ala za roho hamna sauti nyororo
Sent using Jamii Forums mobile app
unahurumia kafiriJaman Loveness pole kwa yaliyokukuta,nadhani watakusamehe tu.Ila ukirudi uache kidomo domo bibie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa kaiga sauti yangu af ujue.nina sauti kama ileeee...Hee....! Mkuu unawaza mbali sana!....
Ila hata sisi ke tunavutiwa na sauti...kuna jamaa moja liko clouds kipindi cha michezo...mweusi tii...uwiiii🙊🙊!anaongoza kile kipindi...! Nimemsahau jina! Anahamasisha mno mno😅!