Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Alikiba amesemaje baada ya huyo dada kufukuzwa kazi?
 
The fact kwamba mna mdiscuss sana ni kielelezo kwamba yeye ni brand na kwenye media wanataka watu kama hawa wafanye nao biashara. So clouds hawatamwacha labda asimamishwe tu kwa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…