Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Diva the Bawse asimamishwa kazi Clouds Media

Chakusikitisha zaidi unakuta huyu anaefurahia mtoto wa kike kafukuzwa kazi nae anaitwa mwanamme
 
Nimesoma baadhi ya comment hadi sasa sijajua sababu zakuwa fired
 
Habari za ivi punde ni kuwa mdada mwenye sura zaidi ya 100

leo wa blue kesho wa njano keshokutwa darkwhite amefukuzwa kazi cloud's kutokana na utovu wa nidhamu

Nawapongeza clouds kwa kumtimua uyu mdada kutokana na dharau zake zilizovuka mikapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaa.
Sasa bei itashuka
500M -> kondoo na kuku wa kishingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom