Diva the boss wa Clouds, mahusiano yamemtesa sana

1.Pingu na Deso.
2.CRazy GK
3.Msanii wake.
4.Mbunge Fulani

Ingekuwa Vipi Diva angekuwa mchepuk0 wa MENGI DAAAAAAAAAHH Tungeona Mengi.
 
Naam wanaume waoaji nao si wajinga. Machale yakiwacheza wanapiga mzigo halafu wanatambaa. Kitu kingine nimegundua wanaume wengi hatupendi mke ambaye yuko hadharani sana kama huyo mrembo. Kuna rafiki yangu mmoja humu huwa tunachat sana mambo ya siasa nikamshawishi agombee Ubunge akaniambia mumewe alishamuonya ukiutaka ubunge tu basi ndiyo itakuwa talaka yako. Bidada ndoa anaipenda zaidi kuliko Ubunge.

Yule dada huwa haishi uhalisia...ni kama ulivyoandika anapenda kuishi kimovie movie
Halafu ana utoto utoto mwingi wakati ni mkubwa

Mara ya mwisho nilisikia anatafuta njia za kupata mtoto
 
Huwa anajiona sio wa nchi hii kabisa...namuombea wish yake ya kupata mtoto itimie mana kuhusu ndoa sidhani kama ataweza manake ana masharti mengi sana
 
Kwani boss wao sialiwafundisha kotooa na kutoolewa!
 
Hivi Diva ana miaka mingapi..maana toka mwaka 2004 namsikia clouds akiwa mtangazaji..nashangaa eti mwaka huu ndio katikiza miaka 30...Wabongo kwa kukataa umri wao hawajambo
 
Fact..ukijua umri wake utanitag hapa..Diva toka mwaka 2004 kipindi hicho nipo form5 nikawa namsikia akiwa anatangaza halafu bado anadai kuwa yeye ana miaka 29 jamani jamani

Its means alianza utangazaji ajira ya kipindi cha wakubwa akiwa under age

Bado anajifanya mtoto wakati ana miaka 35 hata Muda wake wa kizazi unakaribia kuisha
Yule dada huwa haishi uhalisia...ni kama ulivyoandika anapenda kuishi kimovie movie
Halafu ana utoto utoto mwingi wakati ni mkubwa

Mara ya mwisho nilisikia anatafuta njia za kupata mtoto
 
Fact..ukijua umri wake utanitag hapa..Diva toka mwaka 2004 kipindi hicho nipo form5 nikawa namsikia akiwa anatangaza halafu bado anadai kuwa yeye ana miaka 29 jamani jamani

Its means alianza utangazaji ajira ya kipindi cha wakubwa akiwa under age

Bado anajifanya mtoto wakati ana miaka 35 hata Muda wake wa kizazi unakaribia kuisha

Unajua hii nyimbo?video 'kwini' humu ni diva
Nakumbuka miaka hii bado nilikuwa nashikiwa kiboko nilale mchana😅😂 ila hadi sasa niko hivi!

Asa imagine atakuwa na age ipi kama miaka hii alikuwa na huu muonekano

Back
Top Bottom