Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwa mama keagan ni case tofauti kwasababu tatizo likikua kwa baba keaganAende Kwa mama kEagan amshauri
Hapo filter ndiyo nzuriKumbe mzuri
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Bora umuone hvyohvyo kwenye picha na ma filter ya kutosha. Siku ukikutana naye live unaweza kukimbia. Sura kama ile mikate ya kipindi cha Yesu
Ohoooo!!!Kwa mama keagan ni case tofauti kwasababu tatizo likikua kwa baba keagan
Ohoooo!!!Kwa mama keagan ni case tofauti kwasababu tatizo likikua kwa baba keagan
Mashauzi Mengi lakini hajui kuvaa akapendeza na page yake ya instagram hata haileweki
32Atakuwa kwenye 35
Clouds alianza around 2007/8Hivi Diva ana miaka mingapi..maana toka mwaka 2004 namsikia clouds akiwa mtangazaji..nashangaa eti mwaka huu ndio katikiza miaka 30...Wabongo kwa kukataa umri wao hawajambo
Huwa anajiona sio wa nchi hii kabisa...namuombea wish yake ya kupata mtoto itimie mana kuhusu ndoa sidhani kama ataweza manake ana masharti mengi sana
Alikua anatafuta Sperms za NeymarYule dada huwa haishi uhalisia...ni kama ulivyoandika anapenda kuishi kimovie movie
Halafu ana utoto utoto mwingi wakati ni mkubwa
Mara ya mwisho nilisikia anatafuta njia za kupata mtoto
Ni Boss wa nini huyu?..Huyu Dada maarufu,mtangazaji wa kipindi cha redio clouds media kilichojikita kwenye mambo ya mahusiano inavyoonyesha mahusiano yamemtesa sana mpaka ukimsikiliza kwa umakini anawachukia sana wanaume mpaka anafikia kukiri kwamba yeye siyo muumini wa mambo ya kuoana,lakini ukijaribu kumsikiliza mazungumzo yake kuhusu mahusiano na aina ya maisha anayopenda kuishi plus wanaume anaopenda kuwa nao na jinsi relations zinavyopaswa ziwe unagundua kwamba anafananisha sana maisha halisi na tamthilia za kimapenzi za America kusini,akiangalia zile tamthilia anatamani apate mwanaume waishi kama vile,wale wanaigiza my sister ukiendelea kutaka relations kama zile wanaume watakutenda mpaka basi!..na wanaume wanajua sana kuchagua wanawake wa kuishi nao wakiona mwanamke wa staili za tamthilia wanajua atamsumbua mbele wanapiga mzigo wanasepa!!..sasa vichekesho yule doctor anayemualika kwenye kipindi chake kwa ajili ya maswali na ushauri,huyo doctor ni staili ya wale wanaume wanaojidai wanajua sana Ku wa care wanawake zile design za dear,baby n.k anaonekana anamuogopa diva so kila swali analoulizwa anajitahidi ajibu vile diva anavyotaka hasa Yale maswali yanayoleta utata wa nani mwenyewe yupo right kati ya me au ke lazima ajibu upande wa kwamba wanaume wanakosea sijui mwanamke unatakiwa um treat hivi siyo vile!..anyway mitazamo tofauti wanaweza wao ndo wako right
Nilimkubali sana huyo mwana!Yule chalii muhuni sana .
I mean Heri Music, ukimuona kama mrembo fulani hivi ila muhuni kisenge hadi kaya anakula.
By the time yuko versity Diva alikuwa anakuja sana Ud hall 5 na ndinga yake kumchukua mshikaji.
Alikuwa anaosha kisenge mchizi.
Hats Mimi sijui ni boss wa nnNi Boss wa nini huyu?..