Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Watangazaji wasomi ndio wanahitajika zaidi wakati huu, sasa huyu na usomi wake wote na kiingereza chake akikimbia kazi si atazidisha ombwe la upungufu wa wanahabari wasomi?
Samahani, usomi upi hasa!? Ule wa fani husika yaani habari na utangazaji, au usomi tu japo wa fani nyingine kama ualimu, uhandisi na nyinginezo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…