Diva Thee Bawse aikacha Clouds Media

Hivi wasafi ambao hata coverage yao ni ya kuvizia wana matangazo gani kiasi cha kuitetemesha Clouds? Suala hapa ni mbinyo wa kiuchumi kwa kila sekta ambao umeleta shida kubwa hasa kwa sskta ya habari na utangazaji . Unaweza kuona hata kampuni za magazeti zinasota mfano Mwananchi na ukiongezea Nguvu ya mitandao.
 
Wasafi hawana hata robo ya matangazo yaliyopo Clouds bro..Clouds wana corporate ads mpaka kero..tuseme wameshusha bei labda,ila matangazo yapo yakutosha sana,jana nilikuwa nasikiliza Power Breakfast karibu 75% ya kipindi ilikuwa commercial advert
 
Jamaa sijui kazungumzia wasafi gani?..yaani matangazo yao hayazidi hata ya kipindi kimoja mfano XXL
 
Kurejea matapishi au kutangaziwa dau zuri zaidi?
 
Clouds wana akil sana...kina diva.dozen na the likes washa expire... Radio inahitaj kizaz kipya ndomana wanawafagia wote wa zaman kuendana na ushindan

Watahama weng tu..utaskia
Ule ufalme wa clouds kwa kiasi fulani umeyumba, wafanyakazi wake Sasa hawana wasiwasi wa kuondoka kwakua, wanachokipata pale, wanaoweza kukupata hata kwenye vituo vingine, na pengine hata zaidi.
 
Kuna exceptional..wenye vipaj vilivyopitiliza..hutokuwa nae ni hasara zaid ya faida..unashindwa hata ngamua ndugu.utafuniwe kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…