Diva wa cloudfm

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
Kiukweli nachukizwa sana na tabia ya huyi binti anayeongoza kwa ku tweet ujinga.
Siku chache zilizopita alikuwa akitumia mtandao wa twitter kumdis Mh.zitto kabwe achilia hapo alikuwa akijisifu kumdate Prezoo bila haya kumbe ni uongo na girlfriend wa prezoo Huddah alimtukana sana Diva.
Amekuwa akitukana wanaume kwamba hawafui nguo zao za ndani tena kwenye kipindi cha redio.
Pamoja na kujifanya nguli wa mapenzi anaongoza kwa kuachwa na wanaume akiwemo Moracka hadi kufikia atua ya kutaka kujiua..
Loveness amekuwa akijilengesha kwa viongozi pindi anapofanya nao kipindi .

Tazama baadhi ya tweet alizomrushia Zitto.
 

mbona hazionekani!
 
Huyo Diva ndio nani jamani,kiukweli simjui japo hiyo kauli kuwa wanaume hawafui nguo za ndani nimeshaisikiaga kipindi cha nyuma kidogo ila sikuifuatilia nani aliitoa na alimlenga nani hasa.....kuwajadili watu wengine humu ni kuwakuza tu,kama mwanamke anajilengesha kwa wanaume,tena kirahisi huyo ni kahaba tu,sasa tukianza kujadili makahaba humu sidhani kama ni sahihi.
 
Diva is jus another idiot louser, small time easy goer bi..ch, mwenye akili fupi kama masaburi ya bata msameheni bure!!!!!!!?
 
Hajapata mtu wa kumkamua kisawasawa ataacha tuu
 
Excuse me who the serukambaing hell is she?
 
ujinga kilo mbili,kuku wa kisasa c mtamu km wa kienyeji,kumbe maji mengi?
 
guyz in the previous post i asked who z Diva nikaambiwa Mlinzi wa geti la clouds kwa nini tunaendelea mdiscuss kwenye post. I read some diffrent posts here today.
 
Leo Diva akaoge maji ya chooni!!!!
Angekua anayajua mapenzi angekua ashaolewaa au angetulia na mwanaume mmoja tu hayo anayoyaongeaga usiku labda anakua kaandikiwaaa anayasomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…