masai gel
Senior Member
- Jun 11, 2013
- 125
- 42
Kiukweli nachukizwa sana na tabia ya huyi binti anayeongoza kwa ku tweet ujinga.
Siku chache zilizopita alikuwa akitumia mtandao wa twitter kumdis Mh.zitto kabwe achilia hapo alikuwa akijisifu kumdate Prezoo bila haya kumbe ni uongo na girlfriend wa prezoo Huddah alimtukana sana Diva.
Amekuwa akitukana wanaume kwamba hawafui nguo zao za ndani tena kwenye kipindi cha redio.
Pamoja na kujifanya nguli wa mapenzi anaongoza kwa kuachwa na wanaume akiwemo Moracka hadi kufikia atua ya kutaka kujiua..
Loveness amekuwa akijilengesha kwa viongozi pindi anapofanya nao kipindi .
Tazama baadhi ya tweet alizomrushia Zitto.