Diva wa Clouds FM - Sina boyfriend, nikiwa na boyfriend nitaacha kumsifia Ali Kiba

Diva wa Clouds FM - Sina boyfriend, nikiwa na boyfriend nitaacha kumsifia Ali Kiba

DivaDaily

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
18
Reaction score
15
Akiongea kwa kicheko baada ya mashabiki wa mtandao wa twitter kumuuliza Diva kama mwanaume wake kwanini hamind vile anavyokuwa anamsifia alikiba.

Mtangazaji huyo wa kike toka cloudsfm anga za usiku wa ala za roho nne na nusu mpaka saa saba alijibu hana boyfriend ila akipata boyfriend ataacha mara moja kumsufia mwanamkuziki huyo na atatumia nguvu hizo kumpenda na kumthamini boyfriend wake ili asipate mawazo na awe na furaha amemaliza kwa kucheka View attachment 1323396

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Attachments

  • IMG_4684.JPG
    IMG_4684.JPG
    113.2 KB · Views: 1
Unajua Diva ni msichana mzuri, mrembo, mpambanaji na msomi. Ulitakiwa na mahusiano strong na ya kueleweka.

Lakini unaangushwa na kundi la watu wanaokuzunguka kwa kuwa nimekuwa nakuona mara nyingi unaanzisha mahusiano na watu wasiojua thamani yako. Unakuwa na mahusiano na mtu ambaye inakuwa tofauti na matarajio yako.

Naamini wewe ni mwanamkeu mzuri. Matatizo yaliyopo ni madogo madogo tu kwasababu za kisaikoikoljia.

Jaribu kutafuta mtu wa kawaida, uepuke kuwa dissappointed.
 
Wewe diva bado sana labda nywele za mwilini mwako zote ziwe na rangi moja ndo tutaanza kubisha hodi...
 
Daemusin,
Ukisema hivyo utakosea humu asilimia 80 ni zimeandikwa habari za diamond na watu tofauti tofauti ukimtoa huyu mtoa mada yupi mwengine anaeandika habari za diva?
 
Kuna mtu Anasema hiyo mil3 anapata dem wa laki1 tena mkali tu iliyobaki anajenga chumba kimoja na Godoro la chini maisha yanaanza ...
Na kuna mtu hiyo mil500 unaona bado haitoshi kuitolea mahali
So its all perspectives bro.@SK2016,
 
Kwani akiandika habari za diva kuna tatizo gani? Acha wivu wa kike,wewe endelea kumsujudia domo. Hili ni jukwaa la celebrity akisemacho diva ni habari pia kama ambavyo unachukizwa na lulu diva kumkatikia domo mbele ya tarzan
Ukisema hivyo utakosea humu asilimia 80 ni zimeandikwa habari za diamond na watu tofauti tofauti ukimtoa huyu mtoa mada yupi mwengine anaeandika habari za diva?
 
Kwani akiandika habari za diva kuna tatizo gani? Acha wivu wa kike,wewe endelea kumsujudia domo. Hili ni jukwaa la celebrity akisemacho diva ni habari pia kama ambavyo unachukizwa na lulu diva kumkatikia domo mbele ya tarzan
Umebadili pic ya profile nimekusahau ety..!
 
Back
Top Bottom