Diva wa Clouds FM - Sina boyfriend, nikiwa na boyfriend nitaacha kumsifia Ali Kiba

Diva wa Clouds FM - Sina boyfriend, nikiwa na boyfriend nitaacha kumsifia Ali Kiba

Kwani akiandika habari za diva kuna tatizo gani? Acha wivu wa kike,wewe endelea kumsujudia domo. Hili ni jukwaa la celebrity akisemacho diva ni habari pia kama ambavyo unachukizwa na lulu diva kumkatikia domo mbele ya tarzan
Ila wewe umsujidi zari?
 
Kuna uzi wangu humu wa kumsujudia zari?wapi niliandika kuchukizwa na michepuko yake kujimwambafai mbele ya bwana ake? Hebu niletee uzi huo mkuu
Kwani kumsujudia mtu lazima iwe kwenye angle hiyo tu?
 
Mkaruka, Usomi gani? Kuzungumza kingereza cha nyingi ZA kizungu ndio Usomi. Kusema vitani vya mkono ndio kasoma. Naomi angeajiriwa kutangaza mambo ya mkono Usiku. Alikuwa kufanya kazi Kwa Babake wakamfukuza. Alikuwa na boyfrnd Mwisho Mwampamba. Mwisho akashiti baada ya kupata Ray C. Ndipo alipo kutana na Ru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1579130832816.png
 
Unajua Diva ni msichana mzuri, mrembo, mpambanaji na msomi. Ulitakiwa na mahusiano strong na ya kueleweka.

Lakini unaangushwa na kundi la watu wanaokuzunguka kwa kuwa nimekuwa nakuona mara nyingi unaanzisha mahusiano na watu wasiojua thamani yako. Unakuwa na mahusiano na mtu ambaye inakuwa tofauti na matarajio yako.

Naamini wewe ni mwanamkeu mzuri. Matatizo yaliyopo ni madogo madogo tu kwasababu za kisaikoikoljia.

Jaribu kutafuta mtu wa kawaida, uepuke kuwa dissappointed.
Nawe mi miongoni mwa hao wanaomdanya..eti mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom