Oraita.Ni changu.doa flani anatangazaga kipindi cha ala za roho clouds fm,huwa anaongea kama amebemendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oraita.Ni changu.doa flani anatangazaga kipindi cha ala za roho clouds fm,huwa anaongea kama amebemendwa
nasikia diva ana mimba ya mtoto wa temeke juma kasim nature. eti kweli jamani? kama kweli bas dah hyu dada kweli zoazoa.
Mhh....... kama ni umbea basi huu utakuwa umevaa jeans.Diva vs Juma Nature mbona kama link inakuwa ngumu.Ila yule Diva akili yake sio OK kabisa anything can happen.
umesikia kwa nani?huko ulikosikia ndiko ungeuliza vizuri mkuu.
Hivi kwa nini diva ni muhaya lakini asiyependa kutambulika kama muhaya maana huwa anatumia nguvu sana atambulike kama mtoto wa kitanga lakini hataki ukanyigo kabisa!
Asante ndugu kalimizzle kwa kuweka picha ya huyo binti. Ndio Diva mwenyewe huyu?
Asante ndugu kalimizzle kwa kuweka picha ya huyo binti. Ndio Diva mwenyewe huyu?
Asante Mnyabwilo kwa observations zako ila hayo nawaachia ninyi vijana. Ukishakuwa na umri mrefu kidogo kama mimi mambo ya ama sura ni mbovu au la huwa hayana uzito sana. Ukweli ni kuwa kila mwanamke ana uzuri wake ambao ukijipa muda kumchunguza bila kuathiriwa na mitazamo ya watu wengine utauona dhahiri.Hapo kaweka make up still sura mbovu sipati picha bila make up anakuwa vipi.......
Huyu demu maphotoshop ni balaa!!!Hapo kaweka make up still sura mbovu sipati picha bila make up anakuwa vipi.......