Diva wa clouds

Mhh....... kama ni umbea basi huu utakuwa umevaa jeans.Diva vs Juma Nature mbona kama link inakuwa ngumu.Ila yule Diva akili yake sio OK kabisa anything can happen.

link siku hizi zimelainika bana
 
Hivi kwa nini diva ni muhaya lakini asiyependa kutambulika kama muhaya maana huwa anatumia nguvu sana atambulike kama mtoto wa kitanga lakini hataki ukanyigo kabisa!
 
Hivi kwa nini diva ni muhaya lakini asiyependa kutambulika kama muhaya maana huwa anatumia nguvu sana atambulike kama mtoto wa kitanga lakini hataki ukanyigo kabisa!

Atajitambulisha vp ni mhaya wakati hata huko uhayani hajawah kukanyaga?

Ni mtoto wa nje ya ndoa hivyo hatambuliki kwao zaidi ya kukulia ujombani Tanga. Nasikia hata akienda kwa malinzi anaishiaga kwenye mageiti.
 
anatumia instagram jamani kila time mara onyeshe mauno mara ------ mara oho ana lilikupata mtoto. anakiu kweli kweli yakupata mtoto.
beach always beach tu. na kijisauti chake kilee
 
Asante ndugu kalimizzle kwa kuweka picha ya huyo binti. Ndio Diva mwenyewe huyu?

Hapo kaweka make up still sura mbovu sipati picha bila make up anakuwa vipi.......
 
Hapo kaweka make up still sura mbovu sipati picha bila make up anakuwa vipi.......
Asante Mnyabwilo kwa observations zako ila hayo nawaachia ninyi vijana. Ukishakuwa na umri mrefu kidogo kama mimi mambo ya ama sura ni mbovu au la huwa hayana uzito sana. Ukweli ni kuwa kila mwanamke ana uzuri wake ambao ukijipa muda kumchunguza bila kuathiriwa na mitazamo ya watu wengine utauona dhahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…