Mkuu umeniwahi kuipost....inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, daimond Alikuwa amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic.....habari diyo hiyo.
diva ndio mdudu gani?
Kwani kukaza ni tusi?hii habari ya kukazana TCRA hawafungii redio?
Leo mkuu clouds fm kipindi cha XXL ilikuwa timbwili zito diva na domo nusu wapigane... kujua zaid chanzo cha ungomvi wao ingia insta kwa diva na domo utapa update zote.Lini hiyo mkuu
Huko instagram diva anamuongelea vipi domo? Maana hata sina habari.
subir diva akazwe ndo atatulia!
et ur nt ma typ;diva mwenyw dem wa kawaida xn;dawa yak mond tibua vuzi huyo malaya atie heshima!
kutiwa kwa demu ni suala la kawaida
safi sana diamond. Huyo diva na akazwe tu. Mana hakuna namna tena.
Baba siku hizi nimeacha umbea nadeal na mambo ya maana kuhusu nchi yangu.
Huu ujinga nimeuacha kwa muda.
Diva huwa hamwongelei domo buana
Ila juzi kati alikua anamnanga Esma
Mi naona hii ni Kiki ya kurudisha mashabiki.
Tutake radhi.
Umbeya sio ujinga.