Diva: Wanaume wamezidi kunitongza, nabadili laini mara 7 kwa mwezi.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Mtangazaji maarufu wa kituo cha Clouds FM, Diva The Bawse amedai kuwa baada ya kumwagana na aliyekuwa Boyfriend wake Heri Muziki amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume hadi inakuwa kero.

Akifunguka kwenye mahojiano yake na Bongo5, Diva amesema kupitia simu yake ya mkononi amekuwa akipata meseji zaidi ya 2,000 kwa siku na zote kutoka kwa wanaume wengi wakimtongoza, kitu ambacho kila mwezi kinamfanya abadilishe laini zake mara saba.

“Maisha ya kuwa single ni mazuri ingawaje nimekuwa nikipata usumbufu mkubwa kwenye simu yangu yaani napata meseji zaidi ya 2,000 na zote kutoka kwa wanaume, kitu ambacho kinanipa wakati mgumu kwani wananifanya nibadili laini mara saba kwa mwezi,“amesema Diva.

Mbali na usumbufu huo, Diva amesema kuwa kwenye ukurasa wake wa Instagram pia amekuwa akikumbana na usumbufu kama huo DM.

Kwa sasa mrembo huyo amesema kuwa ameshapata mwanaume ambaye ndiye anaamini kuwa atakuwa baba watoto wake siku za usoni ingawaje amekataa kumuweka wazi kwa sasa.
 
amekataa kumuweka wazi

siku hizi anaanza kupata akili
 
Unatongozwa kiivyo sababu ya wewe kujiuza kiivyo wakusumbue wengi ivyo kwa lipi kama si kutaka kukuonja tu na kuondoka ukijiuza lazima iwe ivyo unavaa kiajabu ajabu kwann wasijue wewe ni muuzaji ?mbna wanawake wasomi wazr ,warembo na wanapesa wanajiheshimu hawafnyiwi ivyo ndo maisha uliyoyachagua pambana nayo hapo unafurahia sasa unatutangazia tujue.
 
vijana si mumle t.go huyu atulie maana anahangaika sana kama mtetea wa kutaga .

Hawamto.mbwi vizuri ndo maana anahangaika au anatakann? kuliwa ti.go ila anashindwa kusema. Anachoweza kusema anatongozwa kilaciku SMS zaid ya 2000. Na angekua pini Huyo fala wanaume tungejuta
 
Hao wajinga wanafata umaarufu hapo,huyo aniletee bure na hela anipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…