Diva: Wanaume wamezidi kunitongza, nabadili laini mara 7 kwa mwezi.

Du Message 2000 kwa siku? Hata Mange hapati message 2000 kwa siku za HIDE MY ID ndio itakuwa huyu MSUKULE?
 
In a serious note, hivi diva anauzuri gani? Hafiki hata robo kwa Mama Sabrina. $@*?€%~[emoji768]€[emoji51][emoji51][emoji51]
 
Yaani hata na huyu anatongozwa jamani? Wanaume wa Dar mna matataizo gani kutoka na demu kama huyu?
 
nikuambie kitu uaifikiri kwamba msichana kutongozwa sana ndo uzuri.....
big nooooo ukijiweka rahis rahis yaani kama ku expose maungo yako automatically wanaume wa chapa ilale watakusumbua kwa kuwa wanaona kukupata ni rahis
wanaume wa chapa ilale hawapendag usumbufu wa kutongoza muda mrefu wannapenda ikiwezekana utongoze leo ukubaliwe leo ugonge leo so ukitongozwa na wengi ni kwamba unaonekana kuwa ww ni slope
 
Kumbe Diva ndo huyo, maana nasikiaga tu majivuno yake humu JF, kumbe ni mbaya namna hii,,,duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…