Diva'loveneslove' hajui kupika

Diva'loveneslove' hajui kupika

hata mie sijui kupika ugali,hata mboga nabahatisha :biggrin1:
 
Kwani lazima wote tujue kupika?!Mwacheni labda anajua mambo mengine ya muhimu zaidi.....!
 
kwan asiyejua kupika ni yeye peke yake? au kwa kuwa ni mtangazaji? mesista duu kibao wachovu jikoni
 
Wai cha muhimu mi najua kupika basi. huyo ajue asijue kivyake hata akijua hatakuja kunipikia kwetu.
 
Back
Top Bottom