Nimekusoma Mkuu.Fungua hiyo video mkuu inajieleza kila kitu.
Tuko pamoja kiongozi.Nimekusoma Mkuu.
Mungu akubariki
Jaribu bahati yako kiongozi.Ngoja tujaribu tena
Sure mkuuJaribu bahati yako kiongozi.
Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe 07/11/2017 hakikisha unaweka detail zako zikiwa sahihi bila udanganyifu wa aina yeyote, kwa maelezo zaidi unaweza kuangalia audio ya kiswahili ktk link hapa chini.
Ingia hapa kiongozi. www.dvlottery.state.govmkuu link tunaomba
Hiyo ndio official website inayotumika kwaajili ya application, ukikutana na website tofauti na hiyo jua ni scam kimbia.mkuu link tunaomba
Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe 07/11/2017 hakikisha unaweka detail zako zikiwa sahihi bila udanganyifu wa aina yeyote, kwa maelezo zaidi unaweza kuangalia audio ya kiswahili ktk link hapa chini.
Wametoa tangazo kuwa itafunguliwa rasmi kuanzia tarehe 18/10/2017 mpaka tarehe 22/11/2017 wale wote waliokuwa wameomba kuanzia tarehe 3 mpaka 10 mwezi huu wanaombwa kurudia tena maombi.
Passport ya kusafiria hawahitaji kwa sasa, kinachohitajika ni details zako, education background and work experience. Passport itahitajika Mara baada ya kuwa umechaguliwa.Kama sina passport mkuu