- Thread starter
- #21
Poa kiongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa kiongozi.
Passport ya kusafiria hawahitaji kwa sasa, kinachohitajika ni details zako, education background and work experience. Passport itahitajika Mara baada ya kuwa umechaguliwa.
Nilieleza kuwa system ipo down for maintenance, itafunguka kuanzia tarehe 18/10/2017 yaani kuanzia Kesho.Mkuu ile mbona haifunguki inasema je si unajua kidhungu mkuu
Mara baadae ya kuchaguliwa kuna form maalum unatakiwa kuijaza online inaitwa DS-260,mara baadae ya hapo utatumiwa barua itakayokuonyesha tarehe ya interview. Kabla ya interview utatakiwa kwenda kufanya vipimo hospitali pamoja na kupata Police clearance certificate, baada ya hapo ndio utaenda ubalozi kufanya interview.Ndugu DIBAJI hebu tupe funguo endapo umechaguliwa nini kinahitajika ili uweze kuingia America na kuanza maisha mapya?
Mfano:
1. Uwanja wa ndege state utakayo shuka.
2. Makazi
3. Shughuli unajitafutia au..
4. ONGEZA MAHITAJI MENGINE MUHIMU
Mara baadae ya kuchaguliwa kuna form maalum unatakiwa kuijaza online inaitwa DS-260,mara baadae ya hapo utatumiwa barua itakayokuonyesha tarehe ya interview.
Wishing you all the best.MKUU NIMEPATA MUELEKEO.
Let try my best...
BUT MKUU "utanipokea uwe mwenyeji wangu kwa kipindi maalum, sina ndugu huko" 😂😁Wishing you all the best.
Mme akishinda na mke ameshinda or vice versa. Swali1: Je hizo gharama kila mmoja atalipia au unalipia uliyeshinda afu spouse anabebwa tu.Mara baadae ya kuchaguliwa kuna form maalum unatakiwa kuijaza online inaitwa DS-260,mara baadae ya hapo utatumiwa barua itakayokuonyesha tarehe ya interview. Kabla ya interview utatakiwa kwenda kufanya vipimo hospitali pamoja na kupata Police clearance certificate, baada ya hapo ndio utaenda ubalozi kufanya interview.
GHARAMA UTAKAZO TUMIA.
1.Medical gharama yake ni kama milioni 1.
2.Interview ni dollar 330
3.Police clearance certificate ni sh.2500.
Note: Mara baada ya kufaulu interview ubalozini kuna form utapewa unatakiwa kulipia kiasi cha dollar 220 hii ni kwaajili ya kuprocess green card yako.
Kuhusu nauli na gharama nyinginezo utatakiwa kujilipia mwenyewe, serikali ya Marekani haikulipii chochote.
Hii fursa inayotolewa na Serikali ya Marekani kusaidia watu wenye ndoto za kuishi, kufanya kazi, kufanya biashara na kusoma Marekani pasipo kutumia mlolongo mrefu. Kama kuna mahali hujanielewa unaweza kuniuliza.
Mme au mke akishinda inakuwa mmeshinda wote iwapo tu kama kila mmoja alimjaza mwenzie kama mwenza wake.Mme akishinda na mke ameshinda or vice versa. Swali1: Je hizo gharama kila mmoja atalipia au unalipia uliyeshinda afu spouse anabebwa tu.
Swali2: Kwenye Interview kila mmoja anaitwa kivyake au mnaitwa kwa pamoja na wanauliza nini zaidi.
Swali3: Nauli mpaka Marekani jimbo lolote ni kiasi gani.
Ahsante kwa kutujibu na kutupa ufahamu juu ya hii ndoto yetu ya kuja Marekani. Tupo kikaangoni tunasubiri majibu ya Lottery[emoji23]
Nimeelewa mkuu, Mimi nimecheza na mchumba wangu nae amecheza ila kabla ya majibu tutakuwa tushafunga ndoa maana tupo kwenye hatua za mwishomwisho za mchakato wa harusi. Hope mmoja wetu akishinda atajaza fomu ya kumbeba mwenzie kama utaratibu unavyosema kwa spouse.Mme au mke akishinda inakuwa mmeshinda wote iwapo tu kama kila mmoja alimjaza mwenzie kama mwenza wake.
Majibu ya maswali yako.
1.Gharama kila mmoja atalipia, hata kama una watoto nao watalipia kwenye vipimo.
2.ikitokea wote mmechaguliwa itabidi mchague mmoja kati yenu awe kama principal applicant halafu ndio mnajaza form inaitwa DS 260, kwa kufanya hivyo mtapangiwa interview siku moja na kuna uwezekano wakati wa kuulizwa maswali mkaulizwa kwa pamoja.
3.kuhusu nauli inategemea unakwenda jimbo gani, nikupe mfano mdogo huwezi kutokea Dar unakwenda Bukoba au Morogoro nauli ikawa sawa.
Ukifanikiwa kuchaguliwa katika mchujo wa awali ni vigumu sana kunyimwa visa endapo documents zote zipo sahihi maana tayari wewe ni mshindi ubalozini wao wanafanya kuhakiki tu kile ulichokiandika kwa kuoanisha na documents zako.Nimeelewa mkuu, Mimi nimecheza na mchumba wangu nae amecheza ila kabla ya majibu tutakuwa tushafunga ndoa maana tupo kwenye hatua za mwishomwisho za mchakato wa harusi. Hope mmoja wetu akishinda atajaza fomu ya kumbeba mwenzie kama utaratibu unavyosema kwa spouse.
Kwenye Interview wanauliza nini zaidi maana naona watu wengi kwenye Visa wanakwama kwenye interview. kwanini?
Ukifanikiwa kuchaguliwa katika mchujo wa awali ni vigumu sana kunyimwa visa endapo documents zote zipo sahihi maana tayari wewe ni mshindi ubalozini wao wanafanya kuhakiki tu kile ulichokiandika kwa kuoanisha na documents zako.
Kuhusu maswali huwa wanauliza maswali ya kawaida sana ambayo hayahitaji hata kupiga msuli, mfano unaweza ukaulizwa, tutajie tarehe uliyozaliwa, ulisoma chuo gani, course gani, tuelezee kwa kifupi course yako ina deal na mambo gani, unategemea kufikia jimbo gani, umeplan kufanya nini mara baada ya kuingia marekani nk.
Maswali kama hayo mkuu.
Nb: hakikisha details ulizojaza ni sahihi bila kudanganya kitu. Kila la kheri mkuu.
Mkuu kama nikifanikiwa kupata visa naruhusiwa kuingia America muda wowote? au muda maalumu wa kuingia?Ukifanikiwa kuchaguliwa katika mchujo wa awali ni vigumu sana kunyimwa visa endapo documents zote zipo sahihi maana tayari wewe ni mshindi ubalozini wao wanafanya kuhakiki tu kile ulichokiandika kwa kuoanisha na documents zako.
Kuhusu maswali huwa wanauliza maswali ya kawaida sana ambayo hayahitaji hata kupiga msuli, mfano unaweza ukaulizwa, tutajie tarehe uliyozaliwa, ulisoma chuo gani, course gani, tuelezee kwa kifupi course yako ina deal na mambo gani, unategemea kufikia jimbo gani, umeplan kufanya nini mara baada ya kuingia marekani nk.
Maswali kama hayo mkuu.
Nb: hakikisha details ulizojaza ni sahihi bila kudanganya kitu. Kila la kheri mkuu.
Ivip mkuu hii kitu bado haijafungwa !?kma Bi bado naomba link ya kuapply .Ahsante sana kiongozi. Ngoja twendelee kuomba Mungu. Pia ubarikiwe sana kwa kutushauri pia. Hakika umekuwa msaada kwa wengi na sisi tukifanikiwa tutafata njia yako kwa kuwasaidia wengine.
ishafungwa ndugu.. subiri mwakani. ikifunguliwa tutaambiana maana naifatilia sana.Ivip mkuu hii kitu bado haijafungwa !?kma Bi bado naomba link ya kuapply .
Shukrani tuko pamojaishafungwa ndugu.. subiri mwakani. ikifunguliwa tutaambiana maana naifatilia sana.
Ukipata visa utapewa miezi sita ya maandalizi, miezi hiyo ikiisha hujaingia Marekani visa yako ina expire na hautaruhusiwa kuingia.Mkuu kama nikifanikiwa kupata visa naruhusiwa kuingia America muda wowote? au muda maalumu wa kuingia?
Mkuu vipi lakn hali halisi ya maisha hapo USA na unashauri nini kwa mwenye ndoto ya kuja huko!Ukipata visa utapewa miezi sita ya maandalizi, miezi hiyo ikiisha hujaingia Marekani visa yako ina expire na hautaruhusiwa kuingia.